Ubarikio wa Daniel Lwakatare - mambo kwa ufupi yalikuwa hivi
Wakamuita Rebeka(MESIA) wakamwuliza, Je! utakwenda na Mtu huyu? Akasema Nitakwenda... Mwanzo 24:58. Ulikuwa ni usiku wa aina yake17.08.2014 ambapo Ken & Rey Video Production walikuwa wakitimiza wajibu wake katika kutunza kumbukumbu za tukio la dada Mesia....
Queen's Night - ama kwahakika mambo yalikuwa mazuri kwa siku maalumu ya dada Queen...
Ken & Rey Video Production ilishiriki kutimiza ndoto za Charton Meena na mkewe 8/8/2015, ni maombi yetu Mungu awape maisha ya furaha na aman.
Ubarikio wa Edga Shoo - mambo kwa ufupi yalikuwa hivi
Ken&Rey Video Production ikiendelea kutimiza wajibu yake... Hapa tulikuwa K.K.K.T Mbezi Beach katika ibada ya Shukran kwa wazee wa kanisa...